2 Samuel 3:34


34 aMikono yako haikufungwa,
miguu yako haikufungwa pingu.
Ulianguka kama yeye aangukaye
mbele ya watu waovu.”

Nao watu wote wakamlilia tena.

Copyright information for SwhKC